The House of Favourite Newspapers

Video: Harmonize X Awilo Longomba X H Baba – Kazi Iendelee

0

MSANII wa Bongo Fleva na C.E.O wa lebo ya Konde Gang Rajabu Abdul Kahali, maarufu Harmonize Juni 13, 2021 ameachia video Kazi Iendelee aliyowashikisha Awilo Longomba na H Baba.

“Taifa lilipata taharuki baada ya kuondokewa na Rais wetu wa awamu ya tano Dr. John Pombe Magufuli lakini Mungu wetu ni mjuaji zaidi na mwenye huruma katupatia chuma kingine na mambo yanaenda kama kawaida”

“Mimi kama kijana Mtanzania Mwanachama wa @ccmtanzania kwanini nisionyeshe furaha yangu na kuwa proud na Rais wangu @samia_suluhu_hassan oyaaa nawasalimu huko youtube itikieni kazi inaendelea” – amesema Harmonize

Leave A Reply