VIDEO: HUYU HAPA NDIYE MSHINDI WA MISS KINONDONI 2019
Mrembo Queen Mugase ameibuka mshindi wa Miss Kinondoni 2019 baada ya kuwazidi warembo wengine 17, mashindano hayo yalifanyika eneo la Life Park- Mwenge.
Queen alikabidhiwa zawadi zake mbalimbali usiku huo huo, ikiwemo zawadi kuu ni gari aina Mini copper, hivyo na kumfanya aingie katika orodha ya Miss Kinondoni wenye kusukuma ndinga kali.

Loading...