VIDEO: IBADA ya EID EL HAJ, KUSWALIWA JUMATATU NYAMAGANA
Share
Sheikh mkuu mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke ametangaza Ibada ya Eid Alhaji kwa mkoa wa Mwanza mwaka huu itaswaliwa katika uwanja wa Nyamagana siku ya Jumatatu majira ya saa 1:30 asubuhi.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Comments are closed.