The House of Favourite Newspapers

Video: Inaumai! Ma’Mdogo, Bibi Wa Anna Zambi Wasimulia


Ikiwa ni siku moja tangu habari za mtoto Anna Zambi kushika hatamu katika vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini leo Global TV Online imetembelea nyumbani kwao maeneo ya Goba jijini Dar es Salaam na kuzungumza na Bibi wa Anna na Mama Mdogo wanaomlea mtoto huyo.

Comments are closed.