Video: Inawezekana! Mrembo Akubali Kuolewa na Jamaa Aliyemlipia Ada Chuo…
Hatimaye Peter na Agatha wamekuwa gumzo mno baada ya kufunga ndoa ya kifahari katika Kanisa Kuu la Kristo lililopo Bugembe nchini Uganda ikiwa ni kilele cha uhusiano wao ulioanzia chuo kikuu. Jambo ambalo wengi hawajui ni kwamba bwana harusi Peter alihangaika kwa miezi kadhaa kumshawishi bibi harusi Agatha akubali kuolewa naye.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

