The House of Favourite Newspapers

VIDEO: JPM Alivyomuumbua Hadharani Jamaa “Hakuna GPA ya 32”

Rais Dkt John Magufuli amefika Mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara yake ya kikazi leo Agosti 18, 2018. Akiwa Njiani Rais Magufuli amesimamishwa na Wananchi wilayani Sengerema na kuelezea kero zao mbele ya Rais.

Comments are closed.