The House of Favourite Newspapers

Video: Kauli Ya Samatta Baada Ya Kuichapa Libya Na Kutolewa Afcon

0

NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) amesema walitamani sana kufuzu kwenye michuano ya AFCON lakini imeshindikana kwahiyo wanajipanga vyema mwakani ili waweze kushiriki michuano hiyo.

 

Mchezo wa mwisho wa Taifa Stars wa kuwania kufuzu michuano hiyo wamecheza leo Machi 28, katika dimba la Mkapa dhidi ya Libya, na kufanikiwa kuwatandika bao ( 1 – 0 ) lilifungwa na Simon Msuva.

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply