Kijana Akutwa Amenyongwa Chumbani Arusha… Mpenzi Wake Afungwa Kamba -Video
Kijana mmoja ambaye hajafahamika jina makazi yake yapo jijini Arusha amekuwa amenyongwa na watu wasiofahamika na mpenzi wake akiwa pembeni yake akiwa amefungwa kamba.
Kijana mmoja ambaye hajafahamika jina makazi yake yapo jijini Arusha amekuwa amenyongwa na watu wasiofahamika na mpenzi wake akiwa pembeni yake akiwa amefungwa kamba.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.