The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Kilichotokea Kwenye ‘Birthday Party’ ya John Dillinga, Utapenda!!

USIKU wa kuamia Jumapili Machi 17, 2019, kulifanyika mkesha wa siku ya kuzaliwa kwa John Dillinga ‘djjdakathelegend’  ambapo alipata furusa ya kusherehekea na watu wote waliozaliwa mwezi Machi katika Club Legends karibu na Best Bite Namanga jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.