The House of Favourite Newspapers

Video: Kisa cha Dimpoz kutomualika Diamond uzinduzi wa video yake

0

MSANII wa Bongo Fleva, Omari Nyembo “Ommy Dimpoz” amefunguka kisa cha yeye kutomualika staa mwenzake Diamond Platnumz kwenye uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya uitwao “Achia Body”.

Dimpoz alizindua wimbo wake huo mpya wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Akemi uliopo ndani ya jengo la Golden Jubilee Tower, ambapo ulihudhuriwa na baadhi ya wasanii wenzake kibao.
Wasanii waliojitokeza kumpa nguvu Ommy Dimpoz ni pamoja na Joh Makini, Ben Pol, Chege, Madee, Vanessa Mdee, Navy Kenzo Christian Bella na Mwana FA.
Tazama na usikilize alichokisema Dimpoz kwa nini hakumualika Diamond kwenye shoo hiyo!

Leave A Reply