The House of Favourite Newspapers

Video: KOCHA AUSSEMS Asimamishwa SIMBA, KITAMBI Afunguka

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems ameendelea kutumikia adhabu yake huku kikosi chake kikijifua kwenye Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam.

Mazoezi hayo yamefanywa chini ya msaidizi wake, Denis Kitambi ambaye alijikita zaidi katika kuwapa wachezaji mazoezi ya kumiliki mpira na kufunga.

 

Comments are closed.