The House of Favourite Newspapers

Video: Kocha Matola Azungumzia Sakata La Morrison, Usajili

0

KOCHA Msaidizi wa Simba FC, Selemani Matola amefichua mkasa wa Mghana, Bernard Morrison kufuatia madai ya kiungo huyo kusumbuliwa na ugonjwa wa hernia ‘Ngiri Maji’ huku nafasi yake ikitarajiwa kuchukuliwa na kiungo mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Mzimbabwe, Perfect Chikwende na Ligi ya Mabingwa.

Leave A Reply