The House of Favourite Newspapers

Kocha Mpya Stars Awarejesha Yondani, Mkude – Video

0

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa  (Taifa Stars), Kim Poulsen, leo Ijumaa Februari 26, 2021, amewarejesha kikosini nyota Kelvin Yondani na Jonas Mkude baada ya kukosekana kwa muda mrefu huku akimuita Yohana Mkomola kwa mara ya kwanza.

 

Poulsen  ametangaza kikosi kinachojiandaa kucheza michezo ya kufuzu Afcon dhidi ya Equatorial Guinea na Libya mwezi ujao, Machi.

 

Yondani alikosekana katika kikosi kilichoshiriki CHAN mwaka huu nchini Cameroon huku akiwa miongoni mwa wachezaji waliofanikisha timu hiyo kufuzu mashindano hayo.

 

MAKIPA :
– Aishi Manula ( Simba Sc )
– Metacha Mnata ( Yanga Sc )
– Juma Kaseja ( KMC Fc )
.
MABEKI :
.
– Shomari Kapombe ( Simba Sc )
– Hassan Kessy ( Mtibwa Sugar )
– Israh Mwenda ( KMC Fc )
– Erasto Nyoni ( Simba Sc )
– Bakari Nondo Mwamnyeto ( Yanga Sc )
– Dickson Job ( Yanga Sc )
– Kelvin Yondani ( Polisi Tz )
– Carlos Protus ( Namungo Fc )
– Kennedy Juma ( Simba Sc )
– Laurent Alfred ( Azam Fc, Under 20 )
– Mohamed Hussein Tshabalala ( Simba Sc )
– David Bryson ( KMC Fc )
– Nikcson Kibabage (  Morocco )
– Yassin mustapha ( Yanga Sc )
– Edward Charles Manyama ( Ruvu Shooting )
.
VIUNGO :
.
– Simon Msuva ( Wydad Casablanca, Morocco )
– Hassan Dilunga ( Simba Sc )
– Ayoub Lyanga ( Azam Fc )
– Novatuc Dismac ( Maccabi Tel Aviv, Israel & Under 20 )
– Mzamiru Yassin ( Simba Sc )
– Jonas Mkude ( Simba Sc )
– Said Ndemla ( Simba Sc )
– Fei Toto ( Yanga Sc )
– Himid Mao ( Entag El Harby, Misri )
– Ally Msengi ( Stellenbosch SA, Under 20 )
– Salum Aboubakar Sure boy ( Azam Fc )
– Baraka Majogoro ( Mtibwa Sugar )
– Farid Mussa ( Yanga Sc )
– Iddi Seleman Nado ( Azam Fc )
.
WASHAMBULIAJI :
.
– Ditram Nchimbi ( Yanga Sc )
– Mbwana Samatta ( Fenerbache, Uturuki )
– Thomas Ulimwengu ( TP Mazembe, DRC )
– John Bocco ( Simba Sc )
– Yohana Oscar Mkomola ( Ukraine )
– Shaaban Iddi Chilunda ( @matfoot_officiel , Morocco )
– Deus kaseke ( Yanga Sc )
– Abdul Hamis Suleiman Sopu ( Coastal Union, Under 20 )
– Kelvin John ( Brook House College Academy, England & Under 20 )
– Nassor Saadun Hamoud ( MFK Vyskov, Czech Rp & Under 20 )
– Meshack Abraham ( Gwambina Fc )

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply