Video: Kocha wa Serengeti Boys Afunguka Kuelekea Mechi ya Guinea
KIKOSI cha timu ya vijana cha Tanzania, Serengeti Boys kwa sasa kipo nchini Uturuki kwa ajili ya michuano maalum ya UEFA Assist ambayo ilianza jana Jumamosi nchini humo.
Serengeti Boys ambao wameonekana kuwa na morali ya hali ya juu katika miezi ya hivi karibuni wamealikwa katika michuano hiyo na kupangwa kundi moja na wenyeji Uturuki ambao ni miongoni mwa timu ngumu.
Serengeti Boys wako tayari kwa kazi ya michuano maalum ya UEFA Assist inayofanyika hapa mjini Antalya… KUNDI 1
1. Uturuki
2. Tanzania
3. Guinea
4. Australia


Comments are closed.