VIDEO | Lava Lava – Nitake Nini (Official Video)

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, inayomilikiwa na Diamond Platnumz, ‘Lava Lava’ ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nitake Nini’.

 

Video imeongozwa na Hanscana na Audio ikiwa imefanywa na producer Bonga wa Studio za Better Sound.

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

Loading...

Toa comment