VIDEO: LAVALAVA Amwaga MACHOZI Stejini Tabora

HIT MAKER  wa ngoma ya SAULA, Lavalava, amejikuta akizidiwa na furaha kutokana na shangwe za mashabiki wake na kumwaga machozi wakati akitoa burudani kwenye jukwaa la Wasafi Festival 2019 mkoani Tabora  katika  Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi usiku wa kuamkia leo.

Toa comment