VIDEO | Linah – Tuliza Boli (Official Video)

 

Mwanadada Linah Sanga anakukaribisha kuitazama video ya wimbo wake mpya, ‘Tuliza Boli’.

 

Nyimbo ya Tuliza Boli imeandikwa na J.Melody aliyefanya wimbo wa Namwaga Mboga akiwa na Nandy.

 

Video imeongozwa na Khalfani na Audio imefanywa na Charlez Clinton

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

Toa comment