Video: Mabasi 12 Yakataliwa Kusafiri Na Polisi Mbeya


JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limefanya ukaguzi katika mabasi ili kutazama uimara wa mabasi hayo ambapo wamekagua mabasi 32 na kuzuia 12 ambayo yamekutwa ni mabovu.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxTecno


Toa comment