Video: Magufuli na Museveni Katika Kongamano la Biashara Dar

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewasili nchini Tanzania jana, Septemba 5, 2019 jioni kwa ajili ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili hapa nchini.

Ziara ya Rais Museveni akiwa na Mwenyeji wake rais Magufuli imeanzia katika ukumbi wa Julius Nyerere kwenye kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.

Endelea kufuatilia Global TV Online kwa matangazo ya moja kwa moja.


Loading...

Toa comment