The House of Favourite Newspapers

Video: Mama Love Kungwi -“Naishi Nyumba Kodi Yake Milioni 6 Kwa Mwaka -Mimi Ni Maarufu”

0


Mpaka Home wiki hii imemtembelea Salma Marshed almaarufu @mama_love_kungwi ambaye anafunguka mambo mengi ikiwemo kilichomtoa Kariakoo mpaka kuhamia Ilala ambapo anakwambia nyumba anayoishi, maisha yapoje alipohamia kwa sasa na vitu vingi vya kujifunza kutoka kwake kupitia Global Tv saa mbili usiku.

Leave A Reply