VIDEO: MAMBOSASA AFANYA DORIA NA HELIKOPTA DAR

 

JESHI  la polisi Kanda Maalum ya Dar  es Salaam, chini ya Kamanda wake, Lazaro Mambosasa, leo Agosti 14, limefanya doria ya kukagua baadhi ya maeneo husika kwa kutumia ndege aina ya helikopta, zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kufanyika  kwa mkutano wa viongozi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)  jijini Dar es Salaam.


Loading...

Toa comment