The House of Favourite Newspapers

Video: Manara Aongea Kwa Uchungu “Mungu Nitunzie Mke Wangu”

0


MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba, Haji Manara, juzi Alhamisi alifunga ndoa na mwenza wake, Nahija Abdallah huku Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, DK Jakaya Mrisho Kikwete akimpa wosia wa kuvumiliana na mke wake katika kipindi chote cha ndoa yao.

Leave A Reply