Video: Marioo Afunguka – “Kumsapoti Diamond”

MSANII Marioo Juni 1, 2021 amevunja ukimya baada ya Diamond kutajwa kuwania tuzo ya BET na kueleza kwa sasa Wasanii wa Nigeria wako mbali zaidi kwani wanapeana ‘sapoti’.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx


Toa comment