Video: Mashabiki wa YANGA ‘MACHOZI Yataka Kuwatoka’
KOCHA mpya wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji, ameanza kazi kwa kichapo baada ya jana kushuhudia timu yake ikifungwa mabao 3-0 na Kagera Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar.

