VIDEO: MASHABIKI Wamvaa ZAHERA – “ONDOKA, Huyo MOLINGA Ni DANSA

Klabu ya Yanga Septemba 7, 2019  imelazimishwa sare ya kufunga bao 1-1 na timu ya Pamba fc katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Baada ya mchezo huo mashabiki wamedai kocha huyo ameshindwa kufundisha timu hiyo kutokana na kuonesha kiwango kidogo katika mchezo huo.


Loading...

Toa comment