The House of Favourite Newspapers

Video: Maziko Ya Watu 3 Familia Moja Waliokutwa Wamefariki Ndani Ya Nyumba Dar…

0

Unaweza kusema ni kifo chenye utata, baada ya familia ya watu sita kukumbwa na mkasa na baadaye wanne kufariki kwa kile kinachodaiwa kukosa hewa ya oksijeni usiku walipokuwa wamelala ndani ya nyumba.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia juzi na kusababisha vifo vya watoto watatu pamoja na ndugu mmoja wa familia hiyo.

Hata hivyo Aprili 20, 2023 familia hiyo imezika watoto watatu Munir (7) Munira (6) na Muyyat (3) na mwili wa Kazija Mohamed (21) utasafirishwa kwenda kuzikwa Zanzibar.

Leave A Reply