The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Mbunge Wa Lipumba Ajiuzulu Na Kuhamia CCM

0


Mbunge wa Tandahimba Mkoani Mtwara (CUF) Katani Ahmed Katani amejiuzulu Ubunge wake na kutangaza kuhamia CCM kwenye mkutano uliofanyika Nanyamba leo Feb 21, 2020, Katani amepokelewa na Katibu Mkuu CCM Dkt Bashiru Ally ambaye yupo kwenye ziara Mkoani Mtwara..

Leave A Reply