The House of Favourite Newspapers

Video: MO DEWJI Alivyotinga UWANJANI Mechi ya SIMBA vs AL AHLY

0


GLOBAL TV imefika mapema katika uwanja wa Mkapa jijini Dar kwa ajili ya kushuhudia mtanange wa kukata na shoka wa ligi ya mabingwa Afrika, kati ya SIMBA SC vs AL AHLY ya Misri, ambapo tumepiga stori na mashabiki wa mnyama kuhusiana na mchezo huo.

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply