VIDEO: MOSE IYOBO Afunga BARABARA Wakielekea MULEBA Wasafi Festival


Dansa maarufu Bongo, Mose Iyobo, kutoka WCB na Wenzake wamefunga BARABARA kwa kusimama njiani na kucheza wimbo wa Diamond Platnumz unaosumbua kwa sasa ‘Kanyaga’.

Mose Na Wenzake wamesimama walipokuwa safarini kuelekea Muleba kwenye tamasha LA Wasafi Festival linalotarajiwa kufanyika Julai 19.


Loading...

Toa comment