Video Mpya : Billnass ft Nandy – Bugana

RAPA wa muziki wa Bongo Fleva Billnas akiwa amemshirikisha  mwanadada mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Nandy wameachia video ya wimbo wao mpya unao julikana kwa jina la Bugana, video imeongozwa na Director Joowzey.


Loading...

Toa comment