VIDEO MPYA: Diamond Platnumz – Kanyaga

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ leo Juni 25, 2019 ameachia video yake ya ‘Kanyaga’ mpaka tunaiweka katika mtandao wetu huu wa Global Publishers ilikuwa imeshatazamwa na watu zaidi ya 62,000/-


Loading...

Toa comment