Video Mpya DJ Davizo Ft. Chin Bees, Itazame Hapa

DUDE jipya linalotikisa kwa sasa mtaani, kwenye Stations mbalimbali za Radio na Televisehni Bongo na nje ya nchi ni video ya mkali wa Bongo Fleva, DJ Davizo, wanapenda kumuita Selekta Davizo.

 

DJ Davizo ambaye amewahi kufanya ngoma ya SUKUMA na Barakah The Prince, INAMA aliyofanya na Chin Bees, ameachia tena video mpya Mei 22, mwaka huu inayoitwa CHAMPION ambayo amemshirikisha Rapa mwenye vurugu na mapafu ya mbwa akiwa stejini Chin Bees.

 

Champion imetengenzwa na Producer Goncher Beatz katika Studio za Wanene Entertainment.

 

Karibu Kuitazama Video Hii, Bofya PLAY


Loading...

Toa comment