VIDEO MPYA: HARMONIZE X MILLY NANACE – NEVER GIVE UP REMIX

Msanii wa Bongo Fleva,  Harmonize baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa ‘Never give up’ na kutoa shindano lake la kuimba never give up competition amempata mshindi na kuingia nae studio kurekodi   sasa ameamua kuachia video ya wimbo huo mpya unaojulikana kwa jina la ‘Never give up remix’ akimshirikisha Milly Nanace ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC


Loading...

Toa comment