VIDEO MPYA: Harmonizer, Sara Mahaba Kama Yote Ndani Ya ‘Niteke’

 

Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize toka lebo ya WCB ameonyesha mautundu ya mapenzi kwa mpenzi wake Sara ndani ya video ya wimbo wake Niteke.

 

Niteke inapatikana kwenye EP ya Afro Bongo aliyoitoa February mwaka huu ilikuwa ina nyimbo 4.

 

Video imeongozwa na Kenny Toka Zoom Production Tanzania.

 

TAZAMA VIDEO HAPA

 


Loading...

Toa comment