visa

VIDEO MPYA: Jux Atoa Ujumbe Kwa Wapenzi Wote, ‘Incase You Don’t Know’

 

Msanii wa Tanzania Juma Jux amevuka boda mpaka Kenya kumfwata Nyashinski na kumshirikisha kwenye wimbo wake wa Inscase You Don’t Know.

 

Video imetengenezwa Nairobi Nchini Kenya na muongozaji Hascana , audio ikiwa imetengenezwa na watengenezaji wawili ambao ni Bob Manecky na Elipiano.

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

 

Itazame hapa.

 

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club
Toa comment