Video Mpya: Maua Sama – Niteke

BAADA ya kimya kirefu tangu alipo achia ngoma yake ya iokote na kufanya vizuri ndani na mipaka ya nje ya Tanzani na kufikisha watazamaji zaidi ya milioni 2 kwenye mtandao wa YouTube, sasa mwanamuziki Maua Sama amerudi tena na video ya nyimbo hii mpya inayoitwa ”Niteke” Video ya wimbo huo imetwngenezwa na Director Hans Cana na nyimbo imerekodiwa katika studio za Kimambo.


Loading...

Toa comment