The House of Favourite Newspapers

Video Mpya: Maua X Ben Pol – Amen

Mkali mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Maua Sama (kushoto) akiwa na Mwanamuziki Bernard Paul ‘Ben Pol’.

 

MKALI mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Maua Sama na Mwanamuziki  Bernard Paul ‘Ben Pol’, wameachia video ya wimbo wao mpya unaojulikana kwa jina la ‘Amen’ ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

Comments are closed.