Video Mpya: Nandy Featuring Sauti Sol – Kiza Kinene

MWANAMUZIKI wa kike anaefanya vizuri kwenye gemu la muziki wa bongo fleva ameachia video nyimbo  yake mpya iitwayo Kiza Kinene akiwa amewashirikisha Sauti sol, ngoma ikiwa imetengenezwa na Producer Kimambo na video ikiwa imeongozwa na Director Justin Campos.


Loading...

Toa comment