VIDEO MPYA: Ommy Dimpoz Aja Na Ujumbe Kwa Wapendanao, ‘Your The Best’

 

Baada ya msanii Ommy Dimpoz kuwa na hali nzuri kiafya na kuachia wimbo wake wa shukrani, ‘Ni Wewe‘, muda huu amekuja na video ya wimbo wake mpya ulio na ujumbe kaajili ya wapendanao, ‘Your The Best‘.

 

Video imeongozwa na Hascana toka Hanscana Brand.

 

 

ITAZAME VIDEO HAPA

 


Loading...

Toa comment