VIDEO MPYA : Ruby – Alele

 

Mmoja kati ya wanadada wenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni ni pamoja na Ruby, utafurahia kuona alichokifanya kwenye video ya Alele

 

Video imeongozwa na Majag.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

 

Itazame hapa.

 

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment