The House of Favourite Newspapers

Twanga pepeta – Povu (Video Mpya)

WAKATI siku zikiendelea kuhesabika kuelekea maadhimisho ya miaka 20 ya bendi ya African Stars ‘Twanga pepeta’ kiongozi wa bendi hiyo wameachia wimbo wao mpya wa Povu.

Twanga imepanga kufanya tamasha la kutoa shukrani kwa wapenzi na mashabiki wa muziki wa Twanga Pepeta kwa kuwa pamoja na kuisapoti bendi hiyo kwa takribani miaka 20 toka kuanzishwa kwake, tamasha litakalofanyika Oktober 27 mwaka huu katika ukumbi wa Life Park uliopo Mwenge jijini dar es Salaam.

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

MIAKA 20 YA TWANGA PEPETA SHUGHULI YAKE ASIKWAMBIE MTU!

Comments are closed.