VIDEO MPYA: VANESSA MDEE – MOYO

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva mwanadada anayefanya vizuri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania Vanessa Mdee leo ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Moyo’ uliotengenezwa kwe studio za Pluto na producer s2kizzy, video imeongozwa director Kenny¬†Unaweza kuusikiliza kupitia +255 global radio pia kutazama video kwenye Global Tv.

 


Loading...

Toa comment