The House of Favourite Newspapers

Video Mpya ya Navy Kenzo ft. Diamond Platnumz (Katika) Yatikisa

Kundi la muziki wa Bongo Fleva, Navy Kenzo linaloundwa na Aika na mpenzi wake, Nahreel wameachia video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Katika ambao wamemshirikisha Diamond Platnumz.

Install Global App, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

Navy Kenzo feat. Diamond Platnumz – Katika (Official Video)

Comments are closed.