Video Mpya ya Seneta Seneta – Pekecha

BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake ya BATA, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Seneta Seneta ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Pekecha’. Ngoma hiyo imeandikwa na Beka na kutengenezwa na producer Aloyne M.

TAZAMA HAPA NGOMA HIYO


Loading...

Toa comment