VIDEO MPYA:Diamond Platnumz Kakupa Ujumbe Kwa Umpendaye, ‘The One’

 

Boss wa WCB, Diamond Platnumz ametoa video ya wimbo wake mpya The One kwenye Pasaka ya pili.

 

Ametoa wimbo huo kama uujumbe maalumu kwa mtu kumtumia ampendaye.

 

Video imetengenezewa Morogoro, Bagamoyo na Tanga Magoloto.

 

Video imeongozwa na Kenny toka Zoom Production huku upande wa audio ikitengenezwa na Lizer toka Wasafi Records.

 

TAZAMA VIDEO HAPA


Loading...

Toa comment