VIDEO MPYA:Future Abeba Pesa na Toroli Kwenye ‘Never Stop’
Rapa toka Atlanta Nayvadius DeMun Wilburn maarufu kama Future ameileta video ya wimbo wake ‘Never Stop’.
Wimbo huo unapatikana kwenye album ya WIZRD iliyotoka mapema mwaka huu.
Video imeongozwa na Uncle Leff toka Vincent Lou Film.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.