VIDEO MPYA:Harmonize, Diamond Platnumz & Burnaboy Kwenye Kainama

 

Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize ameileta video ya wimbo wake wa kainama  aliofanya na boss wake Diamond Platnumz pamoja na Burna Boy toka Nigeria.

 

Kainama inapatikana kwenye EP ya Harmonize ambayo iliingia sokoni February mwaka huu.

 

Video imeongozwa na Mr C toka Ghana pamoja na Kenny toka Zoom Production iliyopo Tanzania.

 

TAZAMA VIDEO HAPA

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment