VIDEO MPYA:Nisahaulishe – Amini
Msanii Toka Tanzania Amini baada ya kimya chake cha muda mrefu hatimaye amekuja na kukata kiu ya mashabiki kwa video ya wimbo wake wa nisahaulishe.
Video imetengenezwa na Rockshot.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.