VIDEO MPYA:Ommy Dimpoz Arudisha Shukrani Kwa Muumba Wake ‘Ni Wewe’

 

Msanii Omary Faraji Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, ameamua kurudisha shukrani kwa muumba wake kupitia wimbo wake wa Ni wewe.

 

Audio imetengenezwa na Yogo Beats, video imeongozwa na Kevin Bosco.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

 

Itazame hapa.

 

 

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment