VIDEO MPYA:Shilole, Aslay Ndani Ya Ukintekenya
Mwanamuziki wa kike Zena Yusuf Mohammed maarufu kama Shilole, ameileta nyimbo yake mpya kwa mwaka 2019 Ukintekenya ambayo amemshirikisha Aslay.
Video imeongozwa na Joowzey.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.